Shamba la miti ya linauzwa liko Mufindi.
Shamba lina ukubwa wa ekari arobaini (40), ekari kumi(10) zina miti yenye umri wa miaka miwili (2).
ekari thelathini zilizobakia unaweza kupanda miti au ukazifanyia shughuli nyingine, Shamba liko karibu na mto.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!