26. Sep, 00:02
Utambulisho wa Tangazo 3424561
TSh 270,000,000

SHAMBA EKARI 23/NYUMBA/MABANDA YA MIFUGO,TSHS.270 MILIONI-VIKINDU-MKURANGA.

Mkuranga Pwani Vikindu/Vianzi, Mkuranga.
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
23.0 ekari
Maelezo

UMBALI WA KILOMITA 9 TU KUTOKA VIKINDU/KILWA ROAD.

ANGALIZO:
MALIPO YA DALALI NI 10%
UONYESHWAJI NI TSHS.50,000.

LINA MINAZI MIKUBWA
NYUMBA YA KISASA YA VYUMBA 5,
MABANDA 4,
KISIMA CHA MAJI NA MATANKI YA KUHIFADHIA MAJI.

NJIA NZURI YA GARI HATA NDOGO HADI SHAMBA IPO.

UMEME UNAHITAJI NGUZO NNE TU KUFIKA HADI SHAMBA.

UKIHITAJI KUKAGUA TAARIFA MAPEMA TAFADHALI.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
dalalitz@yahoo.com
Mwanachama tangu 12. Ago '12
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!