Mikoani tunatuma karibuni sana tufanye biashara.
Simu iko vizuri kabisa haina shida yoyote 256gb imetumika lakini bado ina hali ya upya kabisa
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!