Samsung Galaxy s9plus 256gb used but clean napatikana kariakoo agrey likoma street ukifika akiba commercial Bank ,Mkomboz bank, and Tpb bank au Valentino hotel hapo utakua umefika sehem sahihi nilipo
nakupatia na Logo,delivery sticker and warantii
hata kama simu ni used
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!