3-5days
Chagua bati la kuendana na lifestyle yako, chagua mabati imara kutoka ALAF. Mabati yenye uzuri wa kustaajabisha na yanayodumu kwa kipindi kirefu.Yanapatikana kwa rangi mbalimbali na za kupendeza.
#UkiwekaUmeweka #ChaguaALAF #ALAF
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!