Pump imara kabisa,zinazotumia umeme au jenereta
kwa ajili ya kuvuta maji kutoka kwenye visima vya kuchimba kwa jembe la mkono au driling machine,za kusambazia maji mashambani, kujaza maji kwenye matenki, zinauwezo hata kwenye vimiminika vya moto.
Zipo kuanzia 0.5hp,0.75hp, na kuendelea.
Tunauza kwa jumla na rejareja. ....Bei zetu ni nafuu na tunafanya delivery mpaka nyumbani kwa mteja hata kwa pc moja.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!