Naitwa Baraka Kayugwa, Nina umri wa miaka 26 natafuta kazi ya udereva
Nina uzoefu usiopungua miaka 3 na ni dereva wa magari makubwa na madogo Nina leseni halali madaraja A,B,D,C na E.
Nina uzoefu wa kutosha na ninalijua gari kinadharia na vitendo kwani nimesomea ufundi magari Nina grade II
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!