15. Apr '21, 10:43
Utambulisho wa Tangazo 2677939

Private tutoring for CPA Courses

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Maelezo

Ni ukweli usiopingika kuwa mda wa kusoma CPA ni mchache kuliko masomo yanayotakiwa kufanyiwa maandalizi ya kufanyiwa mitihani,,Lakini wewe kutokana na ratiba zako kuwa ngumu unashindwa kuhudhuria vipindi vya kawaida vinavyotolewa na centre zilizopo,hivyo kukufanya uwe na wakati mgumu sana wa kufanya maandalizi. TUMEKULETEA HABARI NJEMA
Sasa unaweza pata fundishwa masomo yako ya CPA kwa wakati wako wewe binafsi na katika mazingira ya kisasa na kwa gharama nafuu kutoka kwa wataalamu wa mbinu za kufanya mitihani .Tunatoa huduma hii kwa level zote,wewe tu tupe mda wako
Wasiliana nasi
◾️Venue zetu zipo victoria house,floor ya nne

USIBANANEBANANE WEWE NI MTU MKUBWA

KIMBWETA EDUTECH
KIMBWETA EDUTECH
Mwanachama tangu 1. Ago '20
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!