16. Ago '21, 10:16
Utambulisho wa Tangazo 3230639
TSh 1

PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA/MAGONJWA YA MOYO.

Morogoro Mjini Morogoro
Seller offers delivery

Kwa walio morogoro mjini.

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA/MAGONJWA YA MOYO.

MAGONJWA YA MOYO /SHINIKIZO LA DAMU/ PRESHA YA KUPANDA & KUSHUKA/SHAMBULIO LA MOYO/CHEMBE YA MOYO/MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUZIBA KWA VISHIPA VYA DAMU.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAGONJWA YA MOYO

▶️ Uvutaji sigara

▶️ Lishe duni.

▶️ Pombe

▶️ Kutofanya mazoezi

▶️ Presha ya kupanda( HTN-Hypertension)

▶️ Kisukari (Hyperglycemia)

▶️ Uzito uliozidi (High body mass Index,above 25kg/m²)~Obesity

DALILI ZA MAGONJWA YA MOYO

▶️ Shambulio la moyo(Heart attack) na Stroke

Dalili za Shambulio la moyo(Heart Attack na magonjwa ya moyo)⤵️

➡️.Maumivu katikati ya kifua.

➡️ Maumivu kwenye mikono, ganzi miguuni na vichomi mwilini.

➡️ Maumivu bega la kushoto.

➡️ Maumivu kwenye kiwiko cha mkono wa kushoto.

➡️ Maumivu kwenye taya za mdomo.

➡️ Maumivu ya Mgongo.

➡️ Kupumua kwa shida.

➡️ Kutapika.

➡️ Kuzimia.

➡️ Ngozi kubadilika rangi.

➡️ Kuvimba kwa miguu na mikono, uso pamoja na tumbo.

➡️Kupumua kwa shida.

➡️Moyo kwenda mbio.

➡️Mwili kuishiwa nguvu.

NJIA ZA KUEPUKA NA KUPUNGUZA HATARI ZA MATATIZO YA MOYO

▶️ Acha kutumia tumbaku(sigara)

▶️ Punguza kiwango cha chumvi kwenye mlo wako.

▶️ Kula mbogamboga na matunda kwa wingi.

▶️ Fanya mazoezi

▶️ Acha kunywa pombe.

▶️ Tibu Kisukari.

▶️ Tibu presha ya kupanda( Hypertension)

▶️ Punguza kiasi cha mafuta mwilini

▶️ Epuka kupaka magonjwa ya shambulio la moyo(Heart attack) na Stroke.

MATIBABU

-Ni vyema kwenda Hospital kwanza kujua tatizo lako na chanzo chake kabla ya kuanza kutumia dawa.

-Ipo mimea tiba yenye uwezo mkubwa wa kutibu tatizo la presha ya kupanda/kushuka na magonjwa ya moyo kwa ufanisi mkubwa sana.

-Dawa hii ni msaada mkubwa kwa wagonjwa wenye moyo kutanuka, presha, misuli ya moyo kutanuka, moyo kushindwa kufanya kazi(ejection fraction to be lower than 40), shambulio la moyo na kuziba kwa vishipa vya damu.

-Mimea hii hutibu na kumaliza kabisa matatizo haya kwa ufanisi mkubwa sana.

Kwa Msaada wa kimatibabu na Ushauri zaidi wasiliana nami kwa:⤵️  

Contacts

Nutr.Sood

Morogoro, mjini.

The cotex medicine

The centre for Cure Coaching and Rehabilitation.

The Cotex Medicine
The Cotex Medicine
Mwanachama tangu 14. Feb '21
Verified via:
Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!