1. Jan, 22:17
Utambulisho wa Tangazo: 2385977
TSh 25,000,000

PLOT ZINAUZWA PUGU SECONDARY

Ilala, Pugu Dar Es Salaam #PLOT KALI SANA ZINAUZWA PUGU KAJIUNGENI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ --- Viwanja viko: PUGU KAJIUNGENI, NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI PUGU. --- Viwanja viko PUGU SHULE, MITA 800 toka PUGU ROAD. --- Viwanja viko VIWILI, 526 SQM NA 309SQM --- Viwanja vimepimwa tayari. --- Kiwanja cha sqm 526 kina pagale la nyumba ya vyumba 3. --- Huduma za kijamii zinapatikana, umeme, maji, hospitali, shule vyote vipo. --- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa sana sana. --- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde. --- Bei: Tsh. 15,000,000 kwa sqm 309 na Tsh. 25,000,000 kwa sqm 526 (chenye pagale). --- Maongezi yapo kidogo sana. --- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja. --- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote.
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
plot inauzwa gugu secondary
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
526.0 m²
Maelezo

#PLOT KALI SANA ZINAUZWA PUGU KAJIUNGENI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

--- Viwanja viko: PUGU KAJIUNGENI, NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI PUGU.
--- Viwanja viko PUGU SHULE, MITA 800 toka PUGU ROAD.
--- Viwanja viko VIWILI, 526 SQM NA 309SQM
--- Viwanja vimepimwa tayari.
--- Kiwanja cha sqm 526 kina pagale la nyumba ya vyumba 3.
--- Huduma za kijamii zinapatikana, umeme, maji, hospitali, shule vyote vipo.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa sana sana.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 15,000,000 kwa sqm 309 na Tsh. 25,000,000 kwa sqm 526 (chenye pagale).
--- Maongezi yapo kidogo sana.
--- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Samson Mushi
Samson Mushi
Mwanachama tangu 23. Jul '18
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!