Friday, 01:15
Utambulisho wa Tangazo: 1767008
TSh 230,000,000 / ekari

Plot kubwa Inauzwa Boko Beach Sqm9240.

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam Boko Beach.
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Ndiyo
Square units
9,240.0 ekari
Maelezo

Plot kubwa inauzwa Boko Beach hekari2 = sqm 9240 Zinauzwa bei poa wahi usizikose zina hati zimepimwa ziko sehemu safi waweza kufanya chochote dk 2 kutoka main Road,zingine zipo kunduchi Beach hekari 1.5 nyingine mbezi beach maeneo ya kwa zena sehemu nzuri safi sana karibu na main road mwaiki baki.Nyingine mbezi beach jangwani Seebreez Zote zina Hati tayari,plot Nyingine Hekari 2.5 pale Bahari Beach ina gusa lami pakubwa Pana faa kwa ujenzi wa Nyumba za Makazi,Biashara,kujenga shell, Godowns,kupaki yard za magari ,Kanisa,Shule, Kiwanja kipo tambalare na njia zinapitika vizuri muda wote bei yake nafuu Kiwanja kina nyumba ndogo ya vyumba2 na sebule jiko choo,Pia kuna kiwanja kingine kikubwa hekari 2 zinauzwa pale kunduch Beach Kina Hati kipo mita chache kutoka lami kina faa kwa matumizi km hayo Bei yake nafuu sana na maongezi yapo kwa maelezo zaidi ya kupata viwanja vikubwa na vidogo vya uhakika piga simu.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Chriss Real Estate Agency
Mwanachama tangu 30. Jul '15
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!