#KIWANJA CHA KIMKAKATI KINAUZWA UBUNGO RIVERSIDE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kiko: UBUNGO RIVERSIDE DSM
— Kiwanja kiko sehemu nzuri sana ya kimkakati kibishara.
— Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.
-- Kiwanja kina mita za mraba 333.
— Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa shell, ladge, hotel na biashara mbalimbali.
— Huduma zote za kijamii zinapatikana.
— Eneo limepakana na barabara ya mandela.
— Bei: Tsh. 300,000,000/- na mazungumzo yapo.
— Hati miliki ipo
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!