Kiwanja kinauzwa kipo mbweni Mpiji kina ukubwa wa Sqmts 1401 kimepimwa na kina hati safi kiwanja ni kizuri sana tena sanaa hakituami maji kipo katika mazingira mazuri sana barabara yake inafikika kiurahisi na kumejengeka vizuri pia bei yake ni Tsh milion 85 maongezi yapo kidogo.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!