#Plot_for_Sale_at_Vikawe_Shule;_(Sqm_2450 / 70×35 ); 6.3M (Negotiable)
;
#kiwanja kikubwa sana na kina banda la vyumba vitatu kinauzwa bei Poa kabisa
;
;
#Kipo VIKAWE, Baada tu ya Bunju, Mbele ya mapinga kuna njia inatokea kibaha. Ukitoka lami kuna shule inaitwa baobao unaingia ndani km 6
;
;
#Bei 6,300,000/= (Negotiable)
;
#Service charge 25,000/=
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!