19. Dec '20, 13:04
Utambulisho wa Tangazo: 2366160
TSh 220,000,000

Plot for sale at kinondoniPlot hii ipo kinondoni ni plot ya 3 baada ya chuo kikuu huria B.afra pazuri pakuishi au biashara kama hotel au Apaitment za kupangisha alikodi mtu akaweka garege bubu wenyewe wameamua kuuza wanashida ya pesa haraka. Ya mirathi na wote wamekubaliana kuuza. Kuna nyumba ya kuvunja ya kizamani na uwanja mkubwa. Eneo lina title did coppy ipo ndani fungua picha Sqm 600. Bei kutoka ml 400 mwanzo sasaivi wanataka ml 220. Wanatoa asilimi 7 ya mauzo kwa Dalali.

Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

Plot hii ipo kinondoni ni plot ya 3 baada ya chuo kikuu huria B.afra pazuri pakuishi au biashara kama hotel au Apartment za kupangisha alikodi mtu akaweka garege bubu wenyewe wameamua kuuza wanashida ya pesa haraka.
Ya mirathi na wote wamekubaliana kuuza.
Kuna nyumba ya kuvunja ya kizamani na uwanja mkubwa.
Eneo lina title did coppy ipo ndani fungua picha
Sqm 600.
Bei kutoka ml 400 mwanzo sasaivi wanataka ml 220

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
dalali maige
Mwanachama tangu 1. Dec '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!