Eneo linauzwa na kila kitu chake ndani minazi inayo zaa vzr 6 miembe ya kisasa inazaa vzr 6 michikichi inazaa vizuri 15 miwa eneo ekali 3 eneo lina nyumba 2 kubwa ina vyumba vyomba 3 na sebule jiko stoo kidogo masta na choo viwili vya public ndogo ina vyomba 3 sebule na choo lina mbuzi na kondoo 16 na kuku na bata saiti iko mwasonga kigamboni
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!