29. Dec '20, 21:02
Utambulisho wa Tangazo: 2381308
TSh 10 / m²

Plot for sale

Kinondoni, Bunju Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
1,300.0 m²
Maelezo

OFFER OFFER ZINAZIDI KUMWAGIKAAAA

VIWANJA VINAUZWA BOKO MAGENGENI OIL COM

BEI BWELELE BEI YA KUTUPAA
MILIKI KIWANJA MJINI NA SIO MBUGANI USIJE UKAKUTANA NA SIMBA HUKO

VIWANJA VIPO VICHACHE VYA UKUBWA TOFAUTI
VIWANJA VYENGINE VINA MABANDA KAMA UNAVYO YAONA KWENYE PICHA

SQM - 1300 TSH MIL 30
SQM - 1030 TSH MIL 25
SQM - 450 TSH MIL 6
SQM - 460 TSH MIL 10
VIWANJA VYOTE BEI ZINAPUNGUA KIDOGO
VIWANJA VINA MCHORO
WA HALMASHAURI
NI RASMI KWA MAKAZI
MAUZIANO NI NYARAKA ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI ZA MITAA
MIUNDO MBINU YOTE IPO
MAJI, BARABARA, UMEME
VIPO UMBALI WA KILOMETER 2 . 3 KUTOKA BAGAMOYO ROAD
GHARAMA YA KUONA VIWANJA ELFU 20000
PIGA SIMU

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Air tell
Mwanachama tangu 19. Aug '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!