NYUMBA INAUZWA
PAGALE LA KIFAHALI
MKOA -DAR-ES-SALAAM-Tz
WILAYA - KINONDONI
MAHALI - BUNJU BEACH MOGA
__
UWANJA SQM 2040
INA HATI SAFI
BEI - MIL 350
MAONGEZI YAPO
_
NYUMBA
YENYE
__
Vyumba vitano
Sebure
Jiko
dinning
SWIPE - KUSHOTO UONE RAMANI YA NYUMBA PINDI ITAKAPO KAMILIKA
NB : NYUMBA HAIPO MBALI NA BARABARA YA RAMI
__
GHARAMA YA KUONA NYUMBA ELFU 50000 ( SERVICE CHARGE )
_
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!