27. Nov '21, 15:18
Utambulisho wa Tangazo 3677990

PID, UTI, Fungus & Hormorne Imbalance

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Maelezo

Madhara Hatari Anayoyapata Mwanamke Asipotibu Maambukizi Katika Via vya Uzazi (PID)

✍?Maambukizi katika via vya uzazi kwa kawaida hujulikana kama PID, kitaalamu kirefu chake ni Pelvic Inflammatory Disease, kwa Kiswahili maana yake ni maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi.

✍?PID, ni maambuki yanayoathiri viungo vya uzazi vya mwanamke na hutokana na mchanganyiko mbalimbali wa magonjwa ya zinaa, hasa yaliyosababishwa na bakteria wa Pangusa (Chlamydia-ugonjwa huu tutaujadili siku zijazo) au kisonono.

✍?Ugonjwa wa PID unapokaa muda mrefu bila kutibiwa, unaweza kusababisha uharibifu mkubwa usiobadilika katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, hasa;
?Katika mfuko wa kizazi (uterus),
?Vifuko vya mayai (Ovaries) na
?Mirija ya mayai (Fallopian Tubes).

✍?Ugonjwa huu unapokaa muda mrefu mwilini bila kutibiwa humfanya mwanamke;

?Kupatwa na Ugumba Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuka na ugonjwa huu.
?Ugonjwa wa kisonono pamoja na pangusa (Chlamydia) ndio vyanzo vikuu vya maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke.
?Mwili wa mawanamke unapokuwa na afya kamili, mlango wa kizazi huwa na nguvu ya kuzuia bakteria wasiweze kuingia katika viungo vya ndani vya uzazi kutoka ukeni.
?Hata hivyo, wakati mlango wa kizazi unapokuwa wazi na kuruhusu magonjwa ya zinaa kuingia, hasa kisonono na pangusa, mlango wa kizazi hupata maambukizi na kisha hupoteza uwezo wake, hivyo kuruhusu maambukizi na bakteria kuingia na kufika juu kwenye viungo vya uzazi.
?Hapa kuna mambo ambayo huwafanya wanawake kupatwa na tatizo hili kwa urahisi, mambo hayo ni:
1️⃣kuwa na wapenzi wengi ama kutoka nje ya ndoa,
2️⃣kuanza mambo ya mapenzi mapema hasa chini ya miaka 20,
3️⃣kupiga bomba ukeni kwaweza kusaidia vimelea kuingia ndani na kusababisha maambukizi katika viungo vya uzazi.

Dalili Za PID

✍?Dalili za PID zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalili huwa za kawaida. Wakati mwingine wanawake hukaa na ugonjwa kwa muda mrefu bila kujua kutokana na kuchanganya dalili na magonjwa mengine. WATU HUONA DALILI HIZI NA KUCHUKULIA KAWAIDA. Zifuatazo ni dalili zinazojotokeza zaidi kwa wanawake wengi.

➡️Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto
➡️Sehemu za uke kuwa na ulaini sana
➡️Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ngono na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa
➡️Kuvurugika kwa hedhi
➡️Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani
➡️Maumivu wakati wa kukojoa
➡️Kupata maumivu wakati wa choo
➡️Kupata dalili za homa kama kizunguzungu, mwili kukosa nguvu, kukosa hamu ya kula na uchovu mwingi.

Madhara Yanayosababishwa Na Maambukizi Kwenye Njia Ya Uzazi (PID)

?Ugumba
?Mimba kujishikiza mahali pasipo sahihi/Nje ya kizazi (ectopic pregnancy). Kadiri unavoumwa zaidi PID ndivyo hatari ya kupata ugumba inavoongezeka.
?Kupata majeraha kwenye mirija ya uzazi, majeraha yanaweza kutokea nje ama ndani, tatizo hili linaweza kuwa gumu kutibika na hutokea tu pale ambapo maambukizi hayakutibiwa kwa muda mrefu zaidi.
?Kuziba na kujaa maji kwa mrija ya uzazi(hydrosalpinx kutokana na majeraha ya tishu zake
?Maumivu ya tumbo ya muda mrefu husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa na mwanamke kutofurahisa unyumba.
?Kuongezeka kwa hatari ya kupata matatizo mengine wakati wa ujauzito na kujifungua.
?Magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa vizuri (sexual transmitted diseases) kama Gonorrhea, Kisonono na Chlamydia.Ugonjwa wa Chylamidia ni ugonjwa wa zinaa unaowaathiri wake kwa wanaume na husambazwa kupitia uke, njia ya haja kubwa na pia ngono ya mdomo.
?Kutolewa kizazi
?Uvimbe
? Saratani ya Shingo ya kizazi

Epuka PID, Tibu Ugonjwa huu unapougundua haraka iwezekanavyo. Mara nyingi hujirudia usipopata Tiba sahihi.

Tumia Tiba zetu, zitaondoa tatizo lako kabisa.

Japhary Mbambule
Japhary Mbambule
Mwanachama tangu 12. Nov '21
Verified via:
Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!