11. Mei, 06:21
Utambulisho wa Tangazo 2831773

PHOENIX TANZANIA under M&G Insurance Agency

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Maelezo

PHOENIX ASSURANCE CO. LTD
M&G INSURANCE AGENCY
Tunapenda kuwatangazia kwamba tunatoa huduma za Bima za aina mbalimbali Ikiwepo za Nyumba, Gari, Pikipiki na Mitambo kama (Excavafor, Wheel loader, Fork lift)
Tunapenda pia kuwatangazia kutokana na mfumo wa ukataji Bima kubadilika kutoka kwenye sticka mpka kwenye Electronics sticker, yaani sticka za kimtandao.
Kutokana na mabadiliko hayo utahitaji vitu vifuatavyo kukamilisha kukata Bima

  1. Kadi ya Gari (unanitumia whatsap)
    2)ID Number inaweza ikawa Nida au Leseni ya Gari)
  2. Kulipia kupitia Account za Phoenix
    Baada ya hapo utanitumia Usibitisho wa malipo Baada ya hapo Gari itaunganishwa na Bima, baada ya malipo nitathibitisha kwenye tovuti ya usimamizi wa Bima (TIRAMIS) na kukutumia uthibitisho.

NB: Bima inakufikia popote ulipo.

Karibuni sana M&G Insurance Agency
SALES OFFICER
NOEL I. LIHENDEKO

NOEL I. LIHENDEKO
Mwanachama tangu 1. Feb
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!