Nyumba inauzwa ipo kongowe ya mbagala Nyumba ya vyumba 3 vya kulala stininroom dining room kitchen stoo toilet public mastr bedroom Nyumba umeme upo maji yapo Nyumba full tairizi Nyumba Aipo mbali na Barbara ya rami km 1 kufika katika Nyumba Nyumba Ina kisima cha maji bei ml 45
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!