15. Apr, 15:32
Utambulisho wa Tangazo: 2679651
TSh 400,000

NYUMBA YA PEKEYAKE, VYUMBA 3 KIMOJA MASTA,TSHS.400,000/MWEZI-KIMARA SUKA.

Kinondoni, Kimara Dar Es Salaam Kimara SUKA
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Terms
Inahitaji Kodi ya Miezi Sita
No of bedrooms
3
No of bathrooms
2
Maelezo

MWENDO WA DAKIKA KUMI KUTOKA BARABARA YA MOROGORO.

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi-1.
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.20,000.

SEBULE KUBWA,JIKO LINA MAKABATI NA STORE.
CHOO KIZURI CHA FAMILIA NA STORE.

NYUMBA INA TILES,SLIDE WINDOWS NA
GYPSUM PAMOJA NA PAVING BLOCK KWENYE PARKING KUBWA.

LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
dalalitz@yahoo.com
Mwanachama tangu 12. Ago '12
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!