Nyumba ipo Mbagala kongoe ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni 75 kwa picha na maelezo zaidi tupigie simu
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!