17. Mac, 16:11
Utambulisho wa Tangazo 2596041
TSh 750,000

Nyumba ya gorofani(Apartment) inapangishwa Mbezi Juu

Kinondoni, Mbezi Juu Dar Es Salaam MBEZI JUU
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Terms
Inahitaji Kodi ya Miezi Sita
No of bedrooms
2
No of bathrooms
2
Maelezo

Nyumba bora ya ghorofani, inavutia na ya kisasa. Nyumba ipo eneo tulivu la Mbezi Juu, ukiwa sebuleni au katika Varanda unatazama Bahari ya Hindi Au unapuliziwa upepe mwanana wa Bahari
Nyumba ipo wazi na tayari kwa ajili ya kupangishwa.
Nyumba ina muonekano wa kuvutia ndani na nje Ina vyumba viwili vya kulala (Chumba kimoja cha kawaida na chumba kingine kinajitoshereza), sebure kubwa, jiko la kisasa na mahala pa kula. Nyumba ina viyoyozi vyumbani na sebuleni. Pia vyumba vyote vina makabati ya ukutani,
Nyumba ina parking 2. Nyumba inawalinzi masaa 24/7.
Nyumba inahitaji Kodi ya Miezi Sita au Mwaka Mzima

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Kitomai
Kitomai
Mwanachama tangu 27. Jul '12
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!