8. Oct '20, 16:44
Utambulisho wa Tangazo: 1711062
TSh 1,300,000,000

Nyumba ya Ghorofa Inauzwa Upanga

Ilala, Upanga Magharibi Dar Es Salaam upanga
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
No of bedrooms
4
No of bathrooms
5
Real Estate Type
Nyumba Kubwa
Amenities
  • Kuna Kiyoyozi
Maelezo

nyumba ina muonekano wa kuvutia wa ndani na nje ikiwa na vyumba vinne vinavyojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula.
Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote. Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 1000….
Hii ni nyumba imejengwa kwa malighafi bora, mafundi na wasimamizi bora!
wahi nyumba hii sasa.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Kitomai
Kitomai
Mwanachama tangu 27. Jul '12
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!