Nyumba inafaa sana kwa biashara inajumla vyumba 8 ambayo chumba na sebule na jiko lake na kila chumba ni master na kuna vyoo public viwili kwa nje, pia nyumba ina kisima cha cha maji, wapangaji wanalipa Kodi laki moja na sitini kwa mwezi nyumba ipo vizuri ina tailzi ndani pia Gymsam bodi, nyumba ipo haipo mbali na barabara kubwa njoo ukague garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!