ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
Ipo chanika Vyumba 4 (1 Masta) Sebule,Jiko, Dining na Choo cha Familia.
Nyumba pia ina Gereji,
Pia Kuna mabanda ya uwani.
Umiliki ni Karatasi za Mauziano.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!