Nyumba pagale, ina hati miliki safi, kiwanja ukubwa ni Sqm 800. Location safi, upande wa nyuma na mbele wa jengo kuna barabara za lami mpya. Panafaa kwa ujenzi wa nyumba za biashara Apartment.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!