Thursday, 16:06
Utambulisho wa Tangazo: 2656478
TSh 80,000,000

NYUMBA NZURI YA KISASA IPO KILOLELI - MWANZA

Other Mwanza District Mwanza
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
XYZ
No of bedrooms
3
No of bathrooms
2
Amenities
 • Kwenye Lami
Maelezo

Nyumba nzuri ya kisasa ina vyumba vitatu na kimoja ni self contain.

 • Ina milango minne ya maduka katika upande mmoja wa fance.
 • Ina eneo kubwa unaloweza kupaki magari hata 6 au kujenga nyumba
  nyingine
 • Ina maji, umeme na kisima cha kisasa chenyemaji safi/ baridi ya
  kunywa (maji ya kisima yanakubalika na idara ya maji)
 • Ina hati ya muda mrefu na imelipiwa kodi ya ardhi na T.R.A.
 • Barabara si safi mpaka getini na ni kama mita 200 kutoka barabara ya
  lami iendayo nyasaka au pasiasi.
 • Haidaiwi chochote na inauzwa na mwenyenyumba hivyo hakuna watu
  wa kati/ wapambe.
 • Kwa maelezo zaidi au kuthibitisha document wasiliana kwa message
  au mpigie kijana wangu kwa namba hii hapa.
ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Rajabu Salehe
Mwanachama tangu Thursday
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!