Saturday, 15:41
Utambulisho wa Tangazo: 2544248
TSh 175,000,000

Nyumba 2 zipo Ilala Sharif shamba zinauzwa

Ilala, Ilala Dar Es Salaam Ilala Sharif Shamba
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

Nyumba mbili zinauzwa kwa pamoja zipo kwenye fensi moja nyumba kubwa inavyumba vi5 na nyumba ndogo inavyumba vi2 naina eneo limebaki kubwa kiasi, pia kila nyumba ipo kwenye Kiwanja chake naina jitengemea documents zake, nyumba kubwa ina Hati miliki (Title deoed) nyumba ndogo ina Leseni ya makazi. Njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 15, nyumba haipo mbali na barabara kubwa ni dakika 5 tu unafika

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Mpanga
Mwanachama tangu 1. Mar '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!