Wednesday, 22:19
Utambulisho wa Tangazo: 2591312
TSh 30,000,000

Nyumba kuuzwa mbagara Kongowe

Temeke, Toangoma Dar Es Salaam Unapanda magari ya mbagara mpka mabagara rangi tatu, pale rangi tatu unachukua magari ya toangoma na kushuka kongowe mwisho
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

Nyumba inauzwa mbagara Kongowe ni nyumba kubwa yenye vyumba nane, maji na umeme vipo, na imekaa sehem nzuri kwa wafanya biashara wa lodge au kupangisha vyumba... karibuni sanaa! pia gari inafika mpka mlangoni bila shida kabisa

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Rachel
Mwanachama tangu 16. Mar
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!