ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
Hii ni nyumba ya kisasa yenye nafasi,
Eneo tulivu, salama na sehemu yenye kuvutia.
Nyumba kubwa inayojitegemea.
Jumla ya Vyumba vya kulala Vinne(4) ambapo viwili vina Vyoo ndani.
Vile vile kuna nyumba ndogo ya pembeni yenye Chumba kimoja na Sebule yake.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Parking kubwa yenye Paving safi ipo.
Eneo Mbagala,
Mbele kidogo ya Rangi Tatu ukielekea CHAMAZI(HUFIKI CHAMAZI)
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!