Nyumba kubwa inapangishwa mikocheni kwa bei nafuu inafaa kuweka hospital, shule ya secondary au primary schools,chuo na offisi yenye mahitaji ya vyumba vingi ambavyo vyumba vyeke ni vikubwa sana kwa ajili ya kufanya madalasa pia ina eneo kubwa lenye garden na parking kubwa vyumba ni vingi vya kutosha iko sehemu nzuri sana kwa huduma km hizo kwa mahitaji ya kupata nyumba km hizi tupigie simu tunazo za kutosha
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!