10. Feb, 22:38
Utambulisho wa Tangazo: 2486719
TSh 350,000,000

Nyumba inauzwa Tabata Segerea/Chang'ombe

Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Tabata Segerea/Chang'ombe
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
No of bedrooms
4
No of bathrooms
3
Real Estate Type
Nyumba za Kifahari
Amenities
  • Ina nyumba ndogo pembeni
  • Huduma Nyingine
Maelezo

(English below)

Nyumba ina vyumba vinne (pamoja na master bedroom yenye bafu na choo chake). Pia ina majiko mawili: moja lipo ndani ya nyumba, jiko la pili lipo nje ya nyumba. Majiko yote mawili yana vyumba vya stoo. Jiko la njee linayo dohani. Kuna kisima cha maji, pamoja na majo ya DAWASCO. Tank la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita 15,000. Sim tank: lita 7000 (elfu saba). Ukubwa wa eneo ni 1443 square mita. Nyumba ina eneo kubwa la bustani pamoja na garage ya kulaza gari moja. Vyumba viwili vya ziada vipo nje ya nyumba. Inauzwa na hati ya nyumba.

4-bedroom house (master bedroom included). There are 2 bathrooms in the house, one being in the master bedroom. An additional bathroom is located outside of the house. The house has 2 kitchens: one is inside the house and the second is located outside the house. Both have adjacent storage rooms. The kitchen located outside has a chimney. The house has its own water supply (through a well) and DAWASCO. The capacity of the underground reserve of water is 15,000 litres. Sim tanks above ground: 7,000 litres. Maximum storage of water: 22,000 litres. Plot area with title deed: 1,443 square metres. A big area is available for gardening. 2 additional rooms are located outside of the house. Sold with title deed.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Negwako M
Negwako M
Mwanachama tangu 9. Feb
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!