Nyumba ipo tabata barakuda jiji la Dar es Salam wilaya ya ilala ina uzwa tsh mil (85) tu
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na dining room. ina jiko na store. ina public toilet. Ina maji na umeme. eneo zuri Sana kubwa sqm (400)
Na uwani kuna banda la kisasa lina vyumba vitatu na sitting room na jiko na choo
MDAU WANGU NYUMBA NZURI SANA MPYA KABSA INA UZWA BEI RAHISI SANA IPO KALIBU SANA NA ROUND ABOUT YA BARAKUDA. NI NYUMBA YA (5) TU KUTOKA BARABARA YA VINGUNGUTI
NJOO TUMALIZE BIASHARA AINA KULEMBA HII NYUMBA NZURI SANA IME KAMILIKA YOTE NJOO ULIPE UWA MIE TU
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!