Hii nyumba ipo mbagala saku mwisho ni pale pale magengeni ukishuka tu kwenye dala dala nyumba una iyona ina vyumba 4 vya kulala, kimoja master bedroom ina sitting room na dining room ina jiko na store ina Maji na umeme eneo square meter (400) ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi usha fanyika Bado Hattie tu nyumba ime kamilika yote njoo ulipe kisha uamie tu mwenywe ana shida Sana nyumba nzuri bei poa kabisa.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!