MAELEZO
Haina rangi nje
Ukubwa Wa eneo 20x40
ndani ya fensi, Umeme na maji yapo, Vyumba 3 kulala vyote master, sebule, jiko, dinning, store na choo kawaida.
Gharama za kupelekwa site elfu 20
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!