Nyumba zipo mbili kwenye Kiwanja kimoja, nyumba kubwa inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet, nyumba ndogo inavyumba vi4 na vyote vinawapangaji, pia umeme upo maji ya kisima yapo, ukubwa wa eneo lake ni Sqm 738 njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 15
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!