Nyumba Inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet, eneo lake ni Sqm 600 documents Hati miliki ipo (Title deed) bei millioni 120, njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni za mteja mwenyewe
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!