Nyumba Inavyumba vi4 vya kulala juu 2 ni master pia chini vipo vi2 master Kuna seeting room dinning room kitchen store public toilet, huduma zote za kijamii zipo, eneo lake ni Sqm elfu 3000 documents Hati ya serikali za mitaa, njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20 nyumba haipo mbali na barabara kubwa ni dakika 5 tu unafika kwenye nyumba
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!