Jana, 11:39
Utambulisho wa Tangazo: 2712549
TSh 78,000,000

Nyumba inauzwa ipo Boko msikitini Dar es salaam

Kinondoni, Bunju Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

Nyumba zipo mbili kwenye fensi moja, nyumba kubwa inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen, pia nyumba ndogo inachumba kimoja master Ina setting room choo na jiko eneo lake ni sqm 400 eneo limeshapimwa tayari Kuna bekoni zipo njoo bado Hati tu njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu nyumba ipo mita chache tu kutoka barabara kubwa

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Mpanga
Mwanachama tangu 1. Mac '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!