Nyumba ina vyumba vitatu vyakulala kimoja master sitting room dining room public toilet jiko umeme nk.
Nyumba ina documents yaserekali yamtaa
Ukubwa wakiwanja sqm 400
Umbali kutoka main road mita600
Wahi sasa mdau ujipatie nyumba kwabei poa kabisa
Piga namba hizi kwa maelezo zaidi
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!