Nyumba inauzwa Mwananyamala Ina vyumba3 na sittingi na dinning public toilet choo na jiko Ina documents
Hati kubwa, ipo mwananyamala sehemu safi kwa maelezo zaidi kupata nyumba zenye hati kwa bei nafuu maeneo ya kinondoni na magomeni,Tabata na sinza tupigie simu pia tuna nyumba za biashara zenye fremu nyingi sehemu centre za biashara na Apartment zinazo uzwa kwa ajili ya biashara bado zipo kwa maelezo zaidi piga simu.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!