17. Okt, 06:22
Utambulisho wa Tangazo 3518810
TSh 57,000,000

NYUMBA INAUZWA

Kigamboni, Mbagala Dar Es Salaam mbagala
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
mbagala
No of bedrooms
4
No of bathrooms
1
Amenities
  • Huduma Nyingine
Maelezo

nyumba inauzwa
ipo mbagala
bei milion 57 maongezi yapo
Hii nyumba kalli Sana ime jengwa vzuri sana aina shida yoyote
ina vyumba vinne vya kulala
Chumba kimoja ni master bedroom
Ina sitting room na dinning room ina jiko na store ina public toilet
Ina Maji na umeme eneo zuri Sana
kubwa kiwanja sqm 535
Hii nyumba ipo meter chache tu kutoka bara bara kuu ya Rami
Nikama nyumba ya sita tu kutoka main road

Usikubali kupitwa na hii nyumba nyumba nzuri Sana na ina frem moja ya duka

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Twaha samir
Mwanachama tangu 27. Mei
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!