Ipo mbagala chamazi mikumi Temeke Dar es salaam.Ina vyumba vi tatu,sitting room,dining room,jiko na flame tatu za biashara.
Nyumba ina full tiles,gypsum boad,full pevn,sliding windows.pia ina kisima cha maji ya baridii.Nyumba ipo kwenye mtaa mkubwa,halafu ipo jerani kabiiisa na barabara kuu ya lami.
Kwa Maelezo zaidi Nipigie kwenye namba zangu.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!