NYUMBA MPYA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER DINING ROOM PUBLIC TOILET JIKO STOO NA SITTING ROOM PIA UMEME UPO MAJI YAPO
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA KARIBU WOTE MNAKARIBISHWA SANA
HATI HALALI IPO YA OFISI YA SERIKALI YA MTAA ?
WAHI SASA BADO IPO MJINI CHAMAZI MBAGALA.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!