NYUMBA HII IPO MJINI CHANIKA MJINI
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA KARIBU WOTE MNAKARIBISHWA
UKUBWA WA ENEO SQM 450
HATI HALALI IPO YA OFISI YA SERIKALI YA MTAA
INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER DINING ROOM PUBLIC TOILET JIKO STOO NA SITTING ROOM PIA UMEME UPO MAJI YAPO INA FREMU MOJA NK.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!