#Location: MBEZI MWISHO, LUGURUNI
Umbali wa Kilomita 1.5 kutoka Main Road Morogoro Road.
Nyumba ina Vyumba Vinne vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master, Sebule, Jiko na Public Toilet.
Kiwanja Kina Ukubwa wa Square Meter 550.
Huduma zote Zipo Umeme, Maji na Barabara.
BEI_YAKE Million Tsh. 33.5
Maongezi_Yapo
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!