Nyumba za kisasa na zina muonekano wa kuvutia wa nje na ndani zikiwa na vyumba vya kulala ( vyumba viwili vya kawaida na chumba cha tatu kinajitoshereza ), sebule, mahala pa kula na jiko.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!