• Mahali: Luguruni Chuo
• Hali ya nyumba: Nzuri
• Bei: TZS 300,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 1080 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Tanzawise Estates
Dar es Salaam
.
Nyumba ni self contained • ipo Kilomita 1.5 kutoka barabara ya Morogoro • vyumba viwili master na viwili vya kawaida • sebule • jiko • stoo ya jikoni na stoo ya jumla • washroom ya jumuiya • gereji na stoo yake • uzio • malumalu sakafuni • gypsum darini • madirisha ya wavu • grili kwenye milango na madirisha yote • maji dawasa • tenki za juu za kuhifadhia maji 2 zenye jumla ya lita 3500 • tenki la chini la kuvuna maji ya mvua lenye lita 45,000 • pampu ya kupandisha maji • paving • msingi wa nyumba ya vyumba viwili • bustani • mabanda ya kuku
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!